Jumapili, 19 Februari 2017

stadi za maisha kwa vijana

STADI ZA MAISHA NA MAFANIKIO KWA VIJANA.
Ujana ni kundi rika la kati katika makuzi ya mwanadamu kwa humtenganisha mtu kutoka utotoni na utu uzima kundi hili huwa  kuanzia miaka 18 ha 40....
Vijana wengine hushindwa kufikia malengo yao sio tu ufinyu wa elimu Bali ni mawazo potofu dhidi ya umri na lika lao.
DHAMIRA NA KUJITAMBUA

kujitambua ni hari ya mtu kujiulize na kujijua yeye ni nani, anamchango gani katika jamii na watu wanaomzunguka wanamzungumzia vipi katika jamii.
Kwa hiyo kama kijana lazima ujijue mwenyewe kuwa ni nani na unamchango gani katika jamii.
Pili lazima utambue rafiki zangu wananiwasilisha vipi katika jamii hivyo basis unaweza kujiweka katika upande ulio thabiti.
WEKA MALENGO YA MAISHA YAKO.
kama kijana wa kisasa lazima uwe na Tania ya kuweka malengo yako. Kuna aina mbili za malengo
Malengo ya muda mfupi yaani ambayo utimia au hukadiliwa kutimia ndani ya muda mfupi haya ni kama kuwa na Biashara ndogo ndogo,kuoa n.k
Malengo ya muda mrefu haya ni malengo ambayo huchukua muda mrefu katilimia au ukadiliwa kutimia kwa muda mrefu haya ni kama malengo juu ya elimu yako mfano babu yangu alijiwekea kwamba mpaka atakapofikia miaka arobsini  40 awe ashapata PhD, malengo na mipango juu ya maisha yako ya uzeeni n.k
ANDIKA MIPANGO NA MALENGO YAKO

Ili malengo na mipango yako Iwe na Tina ni vyema ukawa na tabia ya kuandika malengo yako kwani itakutia nguvu na msukumo zaidi wa kutimiza malengo yako mfano Mzee mmoja ilikuwa na tabia ya kuandika mipango ya miaka ishirini na zaidi alipokuwa na miaka themanini 80 aliandaa mpango Wa miaka therathini Mbele huku akiwa na imani ya kuwa ataifikia lakini bahati mbaya alifariki akiwa na umri wa miaka themanini na moja 81 na mipango yake ikatekelezwa na mwanae ambae ilikuwa na miaka  ishirini na tatu.... Je? Wewe kama kijana unapata funzo gani juu ya kuadaa mipango ya maisha yako.  Ikumbukwe kuwa kwa kuandaa na kuandika mipango itakupa nguvu wewe kama kijana ya kuendelea kutafuta zaidi.
JIFUNZE ZAIDI KWA KUFIKIRI MAISHA YA JAYO

Waingereza husema "future is now" nasi kama vijana lazima tutambue kuwa future zetu hutungenezwa na kile tunachokifanya  kuanzia sasa na ndio maana ukitaka kuwa tajiri lazima uanze kuwekeza toka ukiwa kijana kwa kusave faida na kuongeza uwekezaji katika fursa zinazotuzunguka katika jamii yetu. Kwa mfano mtu anamaliza Chuo kikuu lakini hajui kuandika muhtaksari wa  mikutano lakini hajawahi huzuria hata siku moja mkutano wa kijiji na akapata uzoefu wa mikutano na ikiwa kama CV yake kuwa anaulewa mpana wa uwandishi wa mitaksari ya mikutano
EPUKA NENO SIWEZI
kuna rafiki yangu alichukuliwa kuwa msaidizi wa fundi umeme wa solar kwa mwanzo alisema siwezi lakini baada ya miaka kwenda jamaa akawa ndio mtaalam wa kampuni baada ya fundi mkuu kufariki...hivyo basi trying make more confidence na ngoma huijulia ndani kwa hiyo usiogope kujaribu........
Itaendelea.........
MADA IFUATAYO.
Umuhimu wa tasisi za fedha katika kuinua kipato na mtaji wako katika biashara yako.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni